bokomslag Daftari la ushairi
Psykologi & pedagogik

Daftari la ushairi

-Kaaru M Geoffrey

Pocket

149:-

Funktionen begränsas av dina webbläsarinställningar (t.ex. privat läge).

Uppskattad leveranstid 7-11 arbetsdagar

Fri frakt för medlemmar vid köp för minst 249:-

  • 110 sidor
  • 2022

This book is in Swahili
Daftari la Ushairi ni zao la utafiti wa kina kuhusu mahitaji ya wanafunzi wa Kiswahili katika shule za upili. Kazi hii imelenga
kufumbua fumbo la ushairi ili mwanafunzi aweze kufurahia usomaji na uchambuzi wa kazi za kishairi bila matatizo mengi. Mtindo mpya kabisa uliotumiwa wa kueleza istilahi na dhana nyingine za ushairi, ambapo neno limechunguzwa katika mazingira yake ya kimatumizi (kisemantiki) utamwezesha mwanafunzi kuelewa asili, na uhalizia wa baadhi ya maneno tanzu yanayotumika katika ulimwengu wa ushairi.

Mwalimu Kaaru M. G. ana tajiriba ya miaka mingi katika ufundishaji wa somo la Kiswahili katika shule za sekondari. Kwa
sasa Mwalimu Kaaru ni mkuu wa Idara ya Lugha katika Shule ya Upili ya Machungucha wilayani Murang'a.

Daftari la Ushairi is the product of in-depth research about the needs of Kiswahili students in high schools. This work is focused unravel the mystery of poetry to the student be able to enjoy the reading and analysis of poetic works without much difficulty. Style brand new used to explain the terminology and other poetic concepts, where the word has been examined in its context of practically (semantically) you will enable him student to understand the nature, and originality of some subsidiary terms used in the world of poetry.

Teacher Kaaru M. G. has years of experience much in the teaching of the subject of Kiswahili in secondary schools. For now Master Kaaru is the head of the Department Language at Machungucha High School Murang'a district.
  • Författare: -Kaaru M Geoffrey
  • Format: Pocket/Paperback
  • ISBN: 9789966011145
  • Språk: Engelska
  • Antal sidor: 110
  • Utgivningsdatum: 2022-03-10
  • Förlag: Focus Publications Limited