bokomslag Kolonia Santita
Deckare

Kolonia Santita

Enock Maregesi

Inbunden

699:-

Funktionen begränsas av dina webbläsarinställningar (t.ex. privat läge).

Uppskattad leveranstid 7-11 arbetsdagar

Fri frakt för medlemmar vid köp för minst 249:-

Andra format:

  • 406 sidor
  • 2012
'Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi' ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, 'World Drugs Enforcement Commission' (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika, Asia, Amerika, Ulaya na kungoa mizizi ya shirika la CS-14, lote, katika nchi za Hemisifi a ya Magharibi na duniani kwa jumla.


Hiki ni kitabu cha kwanza cha aina yake cha kimataifa katika Tanzania. Lengo lake si tu kukata kiu ya wapenzi wa riwaya za kipelelezi na kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu; ni
kuleta, hali kadhalika, ufahamu na burudani ya kimataifa kwa Watanzania, Wakenya na Waganda na jamii nzima ya Afrika ya Mashariki inayozungumza Kiswahili na walowezi wa jamii yote ya Kiswahili duniani.
  • Författare: Enock Maregesi
  • Format: Inbunden
  • ISBN: 9781477222966
  • Språk: Engelska
  • Antal sidor: 406
  • Utgivningsdatum: 2012-09-13
  • Förlag: Authorhouse UK