bokomslag Uchambuzi Wa Fasihi
Språk & ordböcker

Uchambuzi Wa Fasihi

Shadrack K Nyagah

Pocket

1019:-

Funktionen begränsas av dina webbläsarinställningar (t.ex. privat läge).

Uppskattad leveranstid 7-11 arbetsdagar

Fri frakt för medlemmar vid köp för minst 249:-

  • 128 sidor
  • 2021
Ni kitabu kinacholenga kuchambua kazi tatu teule za fasihi andishi. Kitabu hiki kinaangazia riwaya ya Chozi la Heri, tamthlia ya Kigogo na hadithi fupi ya Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine. Kitabu hiki kimetayarishwa kimaksudi kwa lengo la kumwelekeza mwanafunzi, msomi na mpenzi wa fasihi ya Kiswahili katika uchambuzi wa vipengele mbalimbali vya fasihi andishi vikiwa ni pamoja na msuko, dhamira, maudhui, mbinu za lugha, wahusika na uhusika wao. Uchambuzi huu umefanywa kwa kuoanisha dhamira ya mwandishi na hali halisi katika jamii. Isitoshe, mchakato mzima wa kuwaumba wahusika na kuyajenga maudhui umeweza kuelezwa kwa njia sahili inayomwezesha msomaji kuielewa zaidi kazi husika. Mwongozo huu unaweza kutumikizwa katika kuchambua tanzu zingine sawa na hizi. Kitabu hiki pia kina maswali kadha ya kila kitabu kilichoshughulikiwa pamoja na majibu yake. Kila swali linakusudia kumchokonoa msomaji akili nayo majibu yakalenga matarajio ya watahini. Ni kitabu cha aina yake ambacho kinaweza kutumika katika shule za upili na vyuo.
  • Författare: Shadrack K Nyagah
  • Format: Pocket/Paperback
  • ISBN: 9786200620866
  • Språk: Engelska
  • Antal sidor: 128
  • Utgivningsdatum: 2021-03-21
  • Förlag: Globeedit