bokomslag Maisha ya Kutotii na Maisha ya Kutii(Swahili Edition)
Filosofi & religion

Maisha ya Kutotii na Maisha ya Kutii(Swahili Edition)

Jaerock Lee

Pocket

189:-

Funktionen begränsas av dina webbläsarinställningar (t.ex. privat läge).

Uppskattad leveranstid 7-11 arbetsdagar

Fri frakt för medlemmar vid köp för minst 249:-

  • 174 sidor
  • 2024

Katika kitabu hiki kumewekwa taswira ya kupingana, maisha ya Farao, aliyekosa kutii neno la Mungu, na maisha ya Musa aliyeishi maisha ya utiifu. Pia kina upendo wa Mungu ambaye kwa huruma zake zisizo na mwisho hutujuza njia ya wokovu kupitia kwa kusherehekea Pasaka, sheria ya tohara, na maana ya Siku Kuu ya Mikate Isiyochachwa.

Farao alishuhudia uwezo wa Mungu lakini bado akakosa kumtii, na hivyo akaanguka katika hali isiyoweza kurudishwa nyuma. Lakini Waisraeli walikuwa salama kutoka kwa mabaa yote kwa sababu walimtii Mungu.

  • Författare: Jaerock Lee
  • Format: Pocket/Paperback
  • ISBN: 9791126312542
  • Språk: Engelska
  • Antal sidor: 174
  • Utgivningsdatum: 2024-02-19
  • Förlag: Urim Books USA